Ilivyokuwa katika Lake Gas India Food Festival


Mercy Kitomari, katikati akiwa na wenzake wa kampuni ya  Nelwas Gelato walionesha utendaji wao wa kazi katika kutengeza na kuuza Ice Cream hapo hapo 

Wadau wakubwa wa biashara ya chakula nchini Bakhresa Group walikuwapo

Michezo ilikuwa mingi

Happy people

Kuliwa na mashindano ya kupika chapati kwa watoto yaliyoendeshwa na kampuni ya Bhakresa Group kupitia unga wake wa ATTA

Mwanamitindo mahiri Asia akiwa na watoto kwenye shindano hilo

Tukapata nafasi ya kushiriki shindano la kulenga shabaha

Rakey na wife wake wakionja msosi wa kihindi

Hey Victoria huyo na huyo ni mtoto wake wakiwa na Honest ambe ni mmoja kati ya wahusika wakubwa wa onesho hilo

Mavyakula kibao

Mustapha akiandaa chapati kwenye banda la wadau wa ATTA wheat flour




KINONDONI Municipal Mayor Yusuph Mwenda uses a toy gun in a shooting exercise that took place last Sunday during the Lake Gas Indian Food Festival at the India Cultural Centre in Dar es Salaam. Besides him is the Mountain Dew Paintball Arena Managing Director, Liberatus Kaegele.
Milk shakes ikiandaliwa
Meya na Familia yake
Ongeza kichwa

Hawa jamaa wanaendesha mchezo huo ambao unasaidia mengi sana katika afya ya akili pamoja na hata kuchangamsha mwili





                                                                                       Zawadi kwa Meya


Related

Sticky 6939514359637637263

Post a Comment

emo-but-icon

item