Will Smith huenda akaitosa Independent Day Part 2



HUENDA staa wa filamu ya Independence Day Will Smith asirejee tena kwenye mwendelezo wa utengenezaji wa filamu hiyo.

Filamu hizo zinazotengenezwa na kampuni kongwe ya utengenezaji filamu ya 20th Century Fox inatarajia kutoa filamu nyingine mwaka 2016.


Kwa mujibu wa mtandao wa The Wrap wa Marekani unaojishughulisha na habari za wasanii na watu maarufu ulibainisha kuwa Smith amekuwa akisita kuelezea ushiriki wake katika filamu hiyo kwa mwaka 2016.


Filamu ya Independence Day ni moja kati ya filamu ambazo zilimtambulisha Wil Smith rasmi katika ulimwengu wa filamu ambapo alikuwa akiigiza kama rubani wa ndege kapteni Steven Hiller.


Watayarishaji wa filamu hiyo Roland Emmerich na Dean Devlin wamekuwa wakiendelea na jitihada zao za kufanikisha toleo la pili la filamu hiyo iliyoandikwa na James Vanderbilt.


Katika mwongozo huo wa filamu Will Smith ametajwa kuwa ni mmoja kati ya walengwa wakuu watakaoshirikishwa kwenye toleo hilo la pili na pia kuna mtu mwengine nae amelengwa.


Kusitasita kwa Smith kusema kama atashiriki au la kumezua mjadala kuwa anaweza asiendelee na filamu ya pili ya Independence Day.


Kuna mwigizaji mwengine aitwaye Jordan ambae anaonekana kuwa anaweza kuchukua nafasi hiyo ya Will Smith.
==================================

Related

Wekeni mbali nyimbo zangu na wanafunzi = Lil Wayne

MWANAMUZIKI machachari wa Marekani Lil Wayne, amewataka walimu wa ngazi mbalimbali za elimu kuacha kutumia mistari ya nyimbo zake kuwafundisha wanafunzi. Rapper huyo alisema kuwa hakuna haja ya kutu...

2face anusurika katika ajali ya ndege

MWANAMUZIKI mahiri wa Nigeria, 2face pamoja na abiria wengine wamenusurika kufa kwenye ndege iliyopata hitirafu ikiwa angani. Hiyo ni kufuatia mlango wa ndege hiyo kufunguka ghafla wakati ikiwa anga...

Swahili Fashion mwaka huu kuanzia Kenya

SWAHILI FASHION WEEKEast and Central Africa's leading fashion Platform now in its 7th year; Is back for the second time with Kenya edition.SAVE YOUR DATE: Saturday 5th April 2014 Nairobi.Are you a ...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

item