Enjoy kwa picha ilivyokuwa kwenye goat race
![](https://resources.blogblog.com/img/icon18_edit_allbkg.gif)
https://habari5.blogspot.com/2014/06/enjoy-kwa-picha-ilivyokuwa-kwenye-goat.html
Meneja wa kinywaji cha Kilimanjaro George Kavishe aliwakilisha |
Sehemu ya kukimbia mbuzi |
Huyu dada anaitwa Mercy ana dili na Ice Cream zake kupitia kampuni yake ya Nelwa Gelato alihusika katika kuuza na aliwakilisha vema |
Michezo kibao ya watoto |
Wazungu ndo usiseme |
Mercy |
Vida Mahimbo akiwasili |
More fire aliwakuwapo |
Endelea ku enjoy |