Kampuni ya burudani ya Brewskies yazinduliwa
https://habari5.blogspot.com/2014/09/kampuni-ya-burudani-ya-brewskies.html
| Wakurugenzi wa kampuni hiyo, itakuwa ikijishughulisha na huduma za uandaaji wa matukio mbalimbali ya sanaa na ya kawaida pia itakuwa ikijishughulisha na wasanii. |
Pia katika tukio hilo Mbunifu wa Mavazi, Husna Tandika alionesha kazi zake za kiubunifu pichani mwanamitindo akionesha mavazi yaliyobuniwa na mbunifu huyo. |
| Hao ndo mambo yake |
| Pia anashona na za wanaume |
| Add caption |
| Hiyo ndo kazi yake |
| Add caption |
| Warembo wakionesha mavazi ya mwanadada huyo |
| Huyo ndo Husna Tandika |
| Mwanamitindo El Giver akifurahia shoo |