Tigo yadhamini maonesho ya Tehema kwa vijana, Viwanja vya Posta Moja



Ofisa kutoka mradi wa Data Huru ulio chini ya Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech) Daudi Fufuji akitoa maelekezo kuhusiana na namna ambavyo mradi huo unafanya kazi, maadhimisho hayo yalidhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo .

 Chombo maalum ambacho kinatumika kupigia picha kutokea angani hapo kilioneshwa namna kinavyofanya kazi.
 Baadhi ya mabanda ambayo wadau mbalimbali wa masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) walihudhuria.
Wadau kutoka Kituo cha Utamaduni cha Ujerumani, Goethe Institute wakiwa kwenye maonesho hayo.
 Wanafunzi wa Chuo cha A3 Institute wakionesha manjonjo yao ya upigaji wa picha katika maonesho hayo ya Tehama.
Ofisa kutoka mradi wa Data Huru ulio chini ya Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech) Daudi Fufuji akikipokea chombo maalum cha upigaji wa picha za ramani mbalimbali kutokea juu angani.

Related

AY ala mzinga, ajali ilitokea njia ya kwenda Oysterbay

Msanii Ambwene Yesaya amenusurika katika ajali ya gari iliyotokea hivi karibuni katika daraja la Surrender lakini hata hivyo hakuumia. Msanii huyo aliiambia blog hii kuwa alikuwa akitokea kumshusha ...

Presidaa Nyoshi amkubali Menina

Msanii wa muziki wa Bendi ya FM Academia ambae ni kiongozi wa bendi hiyo, Nyoshi El Sadaat ameonesha nia ya kufanya kazi na msanii anaechipukiza kwa kasi kwa sasa Menina. Nyoshi alisikiwa na safu hi...

Wasanii wajitokeza kwa wingi kwenye Kili Award's semina

Nguri wa muziki nchini Hamza Kalala kushoto akizungumza na  producer Man Water AY na FA wakiwa katika semina hiyo Mzee Yusuph na mkewe Leyla walikuwapo Wadau wa Roots hao mezani hu...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

item