Wanamuziki wa Davido wameshawasili

https://habari5.blogspot.com/2015/10/wanamuziki-wa-davido-wameshawasili.html
![]() |
Wakiingia katika basi tayari kwa msafara |
![]() |
Watumiaji mbalimbali wa vyombo vya muziki wa msanii Wizkid wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere tayari kwa shoo yao ya leo katika Viwanja vya Leaders. |
![]() |
Huyo mwenye fulana nyeusi anaitwa Snipes ndio kiongozi wa bendi ya msanii Wizkid |
![]() | ||||||||
Wakiwa Uwanjani hapo ambapo wameahidi kufanya shoo kubwa wakishirikiana na msanii huyo. |