Kampuni ya Mitindo ya Blackfox leo inafanya kweli Double tree

https://habari5.blogspot.com/2016/07/kampuni-ya-mitindo-ya-blackfox-leo.html
![]() |
Dj kutokea nchini Afrika Kuisini, ambae leo anawasha moto katika onesho la mavazi la linaloandaliwa na kampuni ya mitindo ya Blackfox Modelingskatika hoteli ya Double tree Masaki akiwasili nchini |
![]() |
Akisindikizwa na Mkurgenzi wa Blackfox Aj Mynah |
![]() |
Aj amedhamilia kuleta mapinduzi kaika tasnia ya mitindo nchini |