Candy and Candy kufuturisha watu 100 kwa Nikohub, soma zaidi

Dar es salaam Kampuni ya Candy and Candy imekuja kivingine msimu huu wa Ramadhan kwa kutumia mfumo mpya tulio uanzisha wa kiteknolojia “Nikohub”tumeanza mchakato wa kufuturisha watu 100 kila siku kwa muda wa siku kumi.
Ili upate kushiriki Futari unatakiwa ku-download Nikohub kwenye Play Store katika simu yako. Kisha jiunge ili tuweze kukuona kwenye mfumo wetu na uingie kwenye list ya watu 100 watakao kula futari leo.
Ukifanikiwa ku-downloda tutumie SMS au piga 0765802457 tukuelekeze sehemu ya kwenda kula futari maeneo ya huko uliko ni bure!.