Tottenham yampania Louis Van Gaal

KLABU YA Tottenham inaendelea na mzungumzo yake ya kumchukua kocha wa Uholanzi ,Louis van Gaal kuionao timu hiyo baada ya kumalizika kwa michuano ya Kombe la Dunia.

Mwenyekiti wa timu hiyo, Daniel Levy mwezi Desemba mwaka kujadilia suala hilo na kisha wakakutana tena mwezi uliopita jijini London kumalizia mazungumzo yao kuhusiana na kupewa jukumu la kuinoa Tottenham.


Van Gaal alikwepa kuchukua jukumu la kocha Andre Villas-Boas la kuinoa timu hiyo ya Tottenham baada ya kocha  huyo kutokuonesha nia ya kushirikiana nae katika kazi.


Baada ya hatua hiyo uongozi wa Tottenham ulimchukua Tim Sherwood kuchukua jukumu hilo kwa miezi 18 na kwa sasa baada ya msimu huu ndio ayapimwa kuangalia mafanikio aliyoiletea klabu hiyo ni yapi.


Inaonekana kuwa Tim ataweza kufanya kazi chini ya Van Gaal iwapo atakuwa akiwekewa mazingira mazuri ya kujifunza chini ya Van Gaal.


Kuna kila dalili kuwa Van Gaal yupo tayari kujiunga na Tottenham. Pia kocha huyo aliwahi kuzifundisha timu za Ajax, Barcelona na Bayern Munich.


Van Gaal anaonekana kuwa ni kama kocha mbae anaweza kuisaidia timu hiyo ya Tottenham licha ya kuwa na mawasiliano pi ana kocha wa Ajax, Frank De Boer.


Van Gaal aliwahi kusikika akisema kuwa hatostaafu kufundisha soka hadi pale ndoto yake ya kufundisha timu ya Ligi Kuu Uingereza itakapotimia.

Related

Wasanii wajitokeza kwa wingi kwenye Kili Award's semina

Nguri wa muziki nchini Hamza Kalala kushoto akizungumza na  producer Man Water AY na FA wakiwa katika semina hiyo Mzee Yusuph na mkewe Leyla walikuwapo Wadau wa Roots hao mezani hu...

Party ya Tv One ilivyokuwa, hakika imekuja kuwabamba

Sherehe ilipambwa Barnaba na Angel huyo mdada nyuma ya Barnaba anaimba balaa Happy people wadau mbalimbali walikuwapo Watu wakacheza muziki Kemi Kaalikawe na Jokate Mwegilo ...

Wadada wenye majina yao hapa mjini

Lulu kushoto akiwa amepozi huyu ni msanii wa filamu wa Bongo Movie, katikati ni Shamim wa blog ya 8020 na mdau wa fashion na kulia huyu ni Flaviana Matata mwanamitindo wa ukweli anaefanya poa huko m...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

item