Party ya Tv One ilivyokuwa, hakika imekuja kuwabamba
https://habari5.blogspot.com/2014/03/party-ya-tv-one-ilivyokuwa-hakika.html
Sherehe ilipambwa Barnaba na Angel huyo mdada nyuma ya Barnaba anaimba balaa |
Happy people |
wadau mbalimbali walikuwapo |
Watu wakacheza muziki |
Kemi Kaalikawe na Jokate Mwegilo |
Angel ni yule dada aliewakilisha Tanzania katika Tusker Project Fame kwa sasa yupo na TV One siku hiyo aliimba huyo |
Toto za ukweli |
Tv One team |
Evance Bukuku akiwa na Oz Sinare |
Martin |
Mbando wa Airtel (kulia) alikuwapo |
Hawa jamaa walichza muziki hao |
Cheki ilivyokuwa |
Watu walikuwa wengi kutoka mahala tofauti tofauti katika party hii iliyofanyikia katika ukumbi wa The Terrace uliopo Slip way |
Dj alikuwa huyu jamaa hapo |
Evance |
Jokate na Andre Mahiga |
Hawa twins mmoja huwa anaigiza Bongo Movie sasa ni viguu hata kuwatofautisha hawa wadada |
Jokate's Mgongo |
Hawa wadau wa Tv One |
Ongeza kichwa |
Anyway habari zaidi ya TV One inakuja muda mfupi ujao |