Wasanii wajitokeza kwa wingi kwenye Kili Award's semina
https://habari5.blogspot.com/2014/04/wasanii-wajitokeza-kwa-wingi-kwenye.html
Nguri wa muziki nchini Hamza Kalala kushoto akizungumza na producer Man Water |
AY na FA wakiwa katika semina hiyo |
Mzee Yusuph na mkewe Leyla walikuwapo |
Wadau wa Roots hao mezani huku nyuma yao ni Fina na Kavishe |
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) Godfrey Mngereza akifungua mkutano hup ambapo aliwataka wasanii kujiendeleza kwa elimu ya muziki hasa kwa kuwatumia wasanii wakongwe nchini |
Mzee Yusuph siku hiyo alichangia sana |
Mzee Komandoo Hamza Kalala alizungumza maneno ya busara sana hasa pale alipowataka wasanii kujiendeleza kielimu zaidi |
Mwanamuziki nguri wa muziki wa Taarab Jike la Simba Isha Mashauzi akiwa pamoja na wadau wa muziki wa Taarabu |
Huyu ni mdau kutoka kampuni inayojishughulish ana mauzo ya nyimbo za wasanii ni wakutoka kampuni ya Mikito |
Kavisher na wadau muhimu wanaofanikisha tuzo za Kili |
Lakini Isha Mashauzi alimpoza kiaina |
Baadae ikafanyika party sehemu ya Garden ya hoteli hiyo ya Double Tree |
Mahmud Zubery wa blog ya Bin Zubery akimfafanulia jambo Muumini Mwinjuma |
Evance akizungumza na Snura |