Zantel ilivyonogesha michuano ya Netiboli kwa Afrika Mashariki
https://habari5.blogspot.com/2014/03/zantel-ilivyonogesha-michuano-ya.html
Wadau wa netiboli kutoka timu ya Manganyawakitokelezea na fulana za Zantel |
Maandamano kuingia kwenye uwanja |
Timu ya Netiboli kwa wanaume ikiingia uwanjani |
Wakiwa wameng'arishwa na Zantel |
Hawa ni viongozi au walezi wa timu za Netiboli |
Kila mtu alipendeza kwa fulana za Zantel |
Kisha timu zote zikajipanga kutoa heshima kwa mgeni rasmi |
Mgeni rasmi akizungumza na timu kabla ya kuanza kwa mchezo |
Mtaalamu wa Chapa wa kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Divine Mosi akizungumza na wachezaji wa timu za Netiboli kwa wanaume wanaoshiriki michuano ya Netiboli kwa Afrika Mashariki. |
Tano
Mchezaji wa Netiboli kutoka nchini Uganda akicheza muziki ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea uzinduzi wa michuano hiyo iliyodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel
saba na kuendelea ni maandamano ya ufunguzi wa michuano hiyo.
Mkurugenzi Msaidizi wa Michezo, kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo Juliana Yasoda akimrushia mpira Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Abdulla Juma Abdulla aliekuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa michuano ya Netiboli kwa nchi za Afrika Mashariki yaliyofunguliwa jana katika Uwanja wa nje wa Taifa Mtaalamu wa Chapa wa kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Divine Mosi akisalimiana na Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Abdulla Juma Abdulla aliekuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa michuano hiyo.