Nitakuwa Fit wakati wa Kombe la Dunia, Brazil mwezi ujao
https://habari5.blogspot.com/2014/05/nitakuwa-fit-wakati-wa-kombe-la-dunia.html
MCHEZAJI wa klabu ya Manchester United, Wayne Rooney amesema kuwa atakuwa ameshapona kabisa hadi kufikia muda wa kuanza kwa michuano ya kombe la dunia.
Aliongeza kuwa lengo lake ni kuhakikisha kuwa anaisaidia timu hiyo kuibuka na ushindi wa Kombe la Dunia kwenye michuano hiyo itakayofanyika Brazil kuanzia mwezi ujao.
Mchezaji huyo wakati wa mchezo kati ya nchi yake na Ureno wa robo fainali uliochezwa miaka nane iliyopita alisaidia kwa kiasi kikubwa timu yake kufikia hatua hiyo muhimu.
Mchezaji huyo ambae kwa sasa anakabiliwa na maumivu alikosa mechi tatu za mwisho za msimu uliomalizika kutokana na maumivu hayo lakini hata hivyo ametajwa kwenye kikosi cha timu ya taifa kitakachoenda Brazil.
Aliliambia jarida la Daily Mail kuwa ana imani kuwa hadi kufikia muda wa kuanza kwa michuano hiyo atakuwa ameshapona kwa asilimia mia moja.
Aliongeza kuwa ana imani kuwa ni vigumu kufanya vema kwenye michuano hiyo wakati mchezjai akaiwa mgonjwa.
Alisema kuwa bado ana imani kuwa anahitaji kucheza michezo mingi ya kirafikia ikiwa ni kama sehemu mojawapo ya kujipanga vema tayari kwa michuano hiyo muhimu.
Alisema kuwa kwa sasa anafanya zaidi mazoezi ya viungo ikiwa ni pamoja na kukimbia lakini bado anaona kuwa hayupo katika hali nzuri zaidi ya kimchezo.
Aliongeza kuwa hadi kifikia siku ya kuanza kwa michuano hiyo atakuwa ameshakamilika na kuweza kuitetea nchi yake.
"Nina imani kuwa hadi siku ya kuanza kwa michuano nitakuwa tayari nipo fit na kupata nafasi ya kumudu hata michezo yangu ya awali."alisema Rooney.