Wambura aliporejesha fomu Simba

Wambura akiejesha fomu yake ya kuwania nafasi yaUrais katika klabu ya Simba, hapo akiwa amebeba kombe alilopewa na wanachama na wachezaji wa zamani wa klabu hiyo.
Anashindana na Evance Aveva ambae nae ana wanachama wengi zaidi ambao pia wanamkubali kwa upande wake aliporejesha fomu alipewa mpira na aliewahi kuwa mwenyekiti wa klabu hiyo kabla ya Mwenyekiti wa sasa Aden Rage, Hassan Dalali.

Related

Sticky 7278588677036309531

Post a Comment

emo-but-icon

item