Wadau wa fashion wa hapa mujini

Katikati ni Jaquiline Ntuyabaliwe, kushoto kwake ni Nancy Sumari huku kulia ni Luka ambae ni mmiliki wa Bongo5blog na ni ndio mumewe Nancy, hapo ilikuwa ni wakati wa onesho la mavazi la Swahili Fashion mwaka jana ambapo Jack maarufu kama K-lyn alishinda tuzo ya mwanadada mwenye mvuto zaidi nchini.

Related

Matamasha 1960498881012732255

Post a Comment

emo-but-icon

item