Kidume chenye mvuto Marekani



Jaji wa shindano la kuimba ya NBC singing show juzi alitajwa kuwa ni mwanaume mwenye mvuto zaidi kupitia jarida la People Magazine.

Jamaa huyo ni mwanamuziki Adam Levine  ni kijana huyo wa miaka 34 pia ni mwigizaji wa filamu ambae kwa sasa ni mchumba wa mwanamitindo Behati Prinsloo wa lebo ya Victoria Secrets alisema kuwa hatua hiyo imemshtua zaidi.

"Najua kama msanii mara nyingi ndoto zetu huwa ni kushinda tuzo kama za Grammys nanyenginezo kubwa sasa najikuta nikipata nafasi ya kutajwa tena katika hili, yani nimeshtushwa sana" alisema.


 Kwa sasa kijana huyo ni mmoja kati ametajwa katika kinyang'anyiro cha kishinda tuzo za Grammy huku akiwa anachuana na akina Brad Pitt, Johnny Depp, Ryan Reynolds, George Clooney na Matt Damon.


Alisema kuwa kwake alikuwa akiona ni kama anataniwa hivi kwa kuwa hakuamini kama angeweza kutajwa katika mambo hayo.

Mwaka jana ndio alianza rasmi kujihusisha na masuala uigizaji hasa katika tamthilia ya American Horror Story.


Pia alishiriki katika filamu ya Can A Song Save Your Life ambapo alikuwa pamoja na Keira Knightley na  Mark Ruffalo.


Filamu hizo zilioneshwa katika Tamasha la Filamu la Toronto
"Kwangu mimi naona kuw ahuu ni kama muda wangu wa kuijivunia kw akuw anayaona mafanikio mapema ambayo yanakuja kwa wakati mwafaka"alisema.

Related

Sticky 4094948853802063502

Post a Comment

emo-but-icon

item