Picha za Mwisho kwenye onesho la Lady in Red




Huyu jamaa anaitwa Gabriel ni mbunifu bora wa mwaka 2012 kwa mujibu wa Swahili Fashion Week, hapa alikuwa ni kama anaigiza Bongo Movies vile pembeni yake ni Magese mbunifu machachari kutokea Morogoro alionesha mavazi yake kwenye shoo hiyo


Team Asia 

Mdau na wadada

Couple zilipendeza sana

In da red carpet

Michuzi alikuwa busy kurekodi matukio

Mbunifu chipukuzi


Burudani ilikuwa nzuri pia

Mcheza Show wa kundi la Wanne Star

Wanne Star bwana


Michuzi akirekodi video wakati Asia akipita kwenye Red Carpet

Burudani ilikuwa safi

Legend Blogger in town Muhdin Issa Michuzi akiwa na wadau wa picha mbalimbali hapa mjini huyo dada ni kutoka Light Photo Studio









Related

Sticky 2296179285773955467

Post a Comment

emo-but-icon

item