Hawa mgambo wa jiji wanatakiwa kupewa elimu ya utendaji wa kazi zao wengi wamekuwa wezi
http://habari5.blogspot.com/2014/04/hawa-mgambo-wa-jiji-wanatakiwa-kupewa.html
| Wapiga picha wa magazeti ya serikali wakizuiwa kupiga picha na askari wa jiji |
| Hawa wafanyabisahara ndogondogo wakifuatilia waandishi wa habari waliokuwa wameenda kuwasikiliza |
| Viroba vikiwa nje ya maduka baada ya kuvunjwa kwa maduka yaliyokuwa katika eneo la Banda la Ngozi barabara ya Nyerere |
| Wananchi wakiwakimbia mgambo wa jiji pamoja na askari Polis waliokuwa wakitumia silaha za moto kuwakimbiza wafanyabiashara hao, mtu mmoja alipigwa risasi |
| Eti kuna duka lililopo mtaa wa Samora linauza vitabu na lenyewe lilivunjwa paa lake na kisha mgambo hao walivunja kioo cha duka hilo na inasemekana kuwa waliiba fedha dukani humo |
| Fundi akiunganisha umeme katika duka la Sapna baada ya kuharibiwa na mgambo hao wezi waliovunja duka usiku wa manane |
| Duka la Sapna ndio hilo hapo kwa mbele kama linavyoonekana |