Jionee video ya wimbo wa miaka 50 ya Uhuru ilivyokuwa ikitengenezwa
http://habari5.blogspot.com/2014/04/jionee-video-ya-wimbo-wa-miaka-50-ya.html
![]() |
| Wadau wahusika wakuu kabisa katika utengenezaji wa video hiyo wakitafakari namna nzuri zaidi ya kufanikisha kazi |
| Shear Illusion ilihusika katika kuwaremba wasanii kabla ya video kuanza |
| Khadija kopa na Ally Remtulah wapo pia |
| Rakee wa I View ndo mtengenezaji |
| Mboto |
| Mwasiti na Martin Kadinda |
| Menina na Remtulah |
| Jose Mara na AT |
| Director akiwa kazini |
| Endelea kusafisha macho mwenyewe |
