Pata picha za Harusi Trade Fair ilivyokuwa
http://habari5.blogspot.com/2014/04/pata-picha-za-harusi-trade-fair.html
| Mbali na mvua kubwa lakini kulikuwa na watu waliojitokeza katika kuhudhuria onesho hilo |
| Wadau wa E Cake walikuwapo wakiwa na mdau wa 360 degree company |
| E cake ndo hao hapo wadau wa keki za aina zote |
| Palipendeza |
| MGift hawa ni wataalamu wa aina mbalimbali za zawadi katika Harusi na hafla nyingine mbalimbali |
| Wadau wa Bahari Bakery walikuwapo kuwakilisha siku hiyo |
| Hilo benzi ni mwafaka kwa masuala ya Harusi linakodishwa pia |
| Hawa wadada walihusika katika kuhakikisha wageni wanaelewa kila kitu kinachoendelea ndani humo |
| Tressa ndio walikuwa wadhamini wakuu huku wakiwa wanatoa elimu bure kuhusiana na bidhaa zao, walifana sana siku hiyo ya onesho hilo la Harusi Trade Fair |
| Hawa nao ni wadau wa Shekina Garden wanahusika kabisa na masuala ya hafla mbalimbali |
| Hizo ndio kazi zao kama zinavyoonekana sahani grasi yani kila kitu kinachotakiwa kwenye hafla mbalimbali |
| Hiyo ndio timu nzima ya Shekina |
| Baileys waliwakilisha vilivyo |
| Warembo wakiwa na chupa za kinywaji cha Baileys waliokuwa ni official sponsor |