Endelea kujionea picha za party ya road to Mtv Mama Awards
http://habari5.blogspot.com/2014/05/endelea-kujionea-picha-za-party-ya-road.html
| Millen mwanamitindo wa kimataifa kwa sasa yupo hapa mjinikwa mapumziko |
| Aisee alipokutana na Wema hali ikawa hivi yani wlaikujiachia viabay sana kwenye red carpet |
| Mwakilishi wa Absolute Vodca Tanzania Adam Kawa akiwa na kinywaji chake |
| Bar tenders wakifanya vitu vyao katika siku hiyo |
| Mwanamitindo wa kimataifa Millen Magese akiwa na Wema Sepetu katika hafla hiyo |