Enjoy kwa picha ilivyokuwa kwenye goat race
http://habari5.blogspot.com/2014/06/enjoy-kwa-picha-ilivyokuwa-kwenye-goat.html
| Meneja wa kinywaji cha Kilimanjaro George Kavishe aliwakilisha |
| Sehemu ya kukimbia mbuzi |
| Huyu dada anaitwa Mercy ana dili na Ice Cream zake kupitia kampuni yake ya Nelwa Gelato alihusika katika kuuza na aliwakilisha vema |
| Michezo kibao ya watoto |
| Wazungu ndo usiseme |
| Mercy |
| Vida Mahimbo akiwasili |
| More fire aliwakuwapo |
| Endelea ku enjoy |