Hakikisha mwanao anasoma Fountain Gate Academy iliyopo pale Tabata
http://habari5.blogspot.com/2014/06/hakikisha-mwanao-anasoma-fountain-gate.html
| Mwalimu Patrick Bryson wa somo la Science akimwelekeza mwanafunzi wa darasa la saba Elizabeth Reuben somo hilo |
| Akimfundisha Barry Wilsno somo hilo katiak shule hiyo |
| Wanafunzi wa shule ya awali wakicheza muziki |
| Walimu wapo karibu sana na wanafunzi wao |
| Sherehe ikiendelea |
| Wanafunzi wote wakiendelea kushesrehekea |
| Ina mandhari nzuri ya kujisomea kwa nwanao |