Familia ilivyojumuika katika hafla Bongo Carnival viwanja vya The green

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda (mwenye miwani) akisikiliza maelekezo kutokea kwa Afisa wa Wanyamapori Longema Proches kuhusiana namna ya kumtunza Simba (hayupo pichani) wakati wa tukio la Bongo Carnival lililofanyika Oyster bay katika Uwanja wa The Green
Mtu alievaria kigalagosi akicheza na mtoto wakati wa tamasha la Bongo Carnival lililofanyika juzi katika Uwanja wa The Green uliopo Oyster bay ikiwa ni kusherehekea siku ya Mama Duniani
Mtoto Patricia Peter akisukumwa na mama yake mzazi, Neema Peter  katika bembea juzi ikiwa ni sehemu ya kusherehekea siku ya Mama duniani, tukio hilo liliandaliwa na kampuni ya Dar Canival katika viwanja vya Farasi Oyster bay (Picha na Mpigapicha Wetu)   

Related

Technology 366793814531768174

Post a Comment

emo-but-icon

item