Camara Education Tanzania yaendelea kuwanoa walimu


Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika lisilokuwa la kiserikali linalojishughulisha na uwezeshaji wa elimu kwa njia ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Tehama, Camara Education Tanzania, Julia Pierre-nina akiwaelekeza jambo walimu kutokea shule mbalimbali namna bora ya matumizi ya Tehama, pembeni yake ni Mkuu wa Mauzo na Masoko, Adam Kawa (Picha na Evance Ng’ingo)

Post a Comment

emo-but-icon

item