Hii si ya kukosa
http://habari5.blogspot.com/2014/01/hii-si-ya-kukosa.html
Tukio hili litafanyika pale ofisi za HMT charity shop zilizopo Kinondoni mtaa wa Lowa karibu na vijana hall.
Itakuwa ni kuanzia Jumatatu ya Januari 13 hadi 27 mwaka, Bei itaanzia bei ya chini kabisa ya shilingi 500/= na pia kutakuwa huku ile ya juu itakuwa ni 30,000/=.
Msikose