Wadada ninaowakubali zaidi 2014
http://habari5.blogspot.com/2014/01/wadada-ninaowakubali-zaidi-2014.html
Anaitwa Grace Kidjo ni mbunifu kutoka Keramiti Label akiwa anawakilisha akitikea Dar es salaam |
Nancy Sumari Mjasiriamali |
Miss East Africa 2012 Jocelyin ni mwanamitindo ajitumae |
Jack Wolper na Jokate wasanii na wajasiriamali |
Sara Kaisi, maarufu kama Shah (katikati) ni mjasiriamali na msanii |