Ilivyokuwa katika Lake Gas India Food Festival
http://habari5.blogspot.com/2014/02/ilivyokuwa-katika-lake-gas-india-food.html
| Mercy Kitomari, katikati akiwa na wenzake wa kampuni ya Nelwas Gelato walionesha utendaji wao wa kazi katika kutengeza na kuuza Ice Cream hapo hapo |
| Wadau wakubwa wa biashara ya chakula nchini Bakhresa Group walikuwapo |
| Michezo ilikuwa mingi |
| Happy people |
| Kuliwa na mashindano ya kupika chapati kwa watoto yaliyoendeshwa na kampuni ya Bhakresa Group kupitia unga wake wa ATTA |
| Mwanamitindo mahiri Asia akiwa na watoto kwenye shindano hilo |
| Tukapata nafasi ya kushiriki shindano la kulenga shabaha |
| Rakey na wife wake wakionja msosi wa kihindi |
| Hey Victoria huyo na huyo ni mtoto wake wakiwa na Honest ambe ni mmoja kati ya wahusika wakubwa wa onesho hilo |
| Mavyakula kibao |
| Mustapha akiandaa chapati kwenye banda la wadau wa ATTA wheat flour |
| Milk shakes ikiandaliwa |
| Meya na Familia yake |
| Ongeza kichwa |
| Hawa jamaa wanaendesha mchezo huo ambao unasaidia mengi sana katika afya ya akili pamoja na hata kuchangamsha mwili Zawadi kwa Meya |