MAN United yapania makubwa usajili ujao
http://habari5.blogspot.com/2014/02/man-united-yapania-makubwa-usajili-ujao.html
TIMU ya Manchester United imetenga kitita cha Pauni za Uingereza Milioni 20 kwa ajili ya kumpata mchezaji wa Southampton Luke Shaw.
Hatua hiyo ni mkakati mmojawapo wa timu hiyo kujiwekea mazingira mazuri zaidi ya kushiriki Ligi Kuu.
Shaw ni mchezaji ambae inasemekana kuwa anaikubali zaidi timu ya Chelsea na amekuwa na shauku ya kufanya mazungumzo na timu ya Chelsea.
Lakini pia hata hivyo inasemekana kuwa mchezjai huyo pia ataweza kuingia katika mazungumzo na kocha David Moyes wa Manchester United.
Kwa mujibu wa mtandao wa Goal.Com unathibitisha kuwa mchezaji huyo alikuwa na mazungumzo mwezi January kuhusiana na hatua ya kuja kuhamia Manchester msimu ujao.
Moyes amekuwa na mikakati ya kujiiramisha kwenye suala zima la usajili ambapo ametenga kitita cha Pauni ya Uingereza Milioni 150 mwezi Juni.
Klabu hiyo imevunja rekodi ya usajili kwa kitita cha Pauni za Uingereza Milioni 37 kwenye usajili uliopita, inaonekana kuwa kwa sasa klabu hiyo imejidhatiti zaidi kwenye sekta ya Ulinzi.
Manchester United imetangaza kuwa wachezaji wake Nemanja Vidic pamojana wachezaji wengine Rio Ferdinand na Patrice Evra wataondoka kwenye timu hiyo.
Pia wachezaji wengine kama vile Rafael na Alexander Buttner nao wanaweza kuruhusiwa kuondoka kwenye klabu hiyo na klabu hiyo ipo tayari kuchukua dili la kuwauza.
Hivyo inaonekana kuwa kuwa nafasi ya Shaw ni muhimu kwenye kikosi hicho hasa kwa kusaidia kwenye nafasi ya beki wa kulia wa timu hiyo.