Some pixes at Escape One
http://habari5.blogspot.com/2014/02/some-pixes-at-escape-one.html
| Awaichi (kushoto) na Kemi |
| Wasanii wa kundi la Mahusiano |
| Escape On kwa juu |
| Msanii wa Mahusiano |
| Hawa wote ni wasanii wa THT |
| Barnaba, Linah, Mataaluma na rafiki yao ambae ni msanii mpya wa THT |
| Linah, Amini,Ditto na Mataalum na msanii mpya wa THT |
| Yep THT famous artist ambao ni Barnaba mbele na nyuma yake Mataalum |
Escape One siku hiyo usiku kulikuwa na recording ya special events kwa ajili ya Valentine Day