Shamba kubwa linauzwa Mlandizi lipo barabarani kabisa
http://habari5.blogspot.com/2014/02/shamba-kubwa-linauzwa-mlandizi_13.html
Shamba kubwa linauzwa Mlandizi, lina ukubwa wa hekari 15 lipo barabarani kabisa kwenye eneo hilo la Mlandizi.
Linafaa kwa shughuli mbalimbali kama vile Yard ya Magari, kiwanda na hata ujenzi wa shule
Kwa mawasiliano piga 0714 43 65 94 pia ukitaka kuliona.