Party ya Tv One ilivyokuwa, hakika imekuja kuwabamba
http://habari5.blogspot.com/2014/03/party-ya-tv-one-ilivyokuwa-hakika.html
| Sherehe ilipambwa Barnaba na Angel huyo mdada nyuma ya Barnaba anaimba balaa |
| Happy people |
| wadau mbalimbali walikuwapo |
| Watu wakacheza muziki |
| Kemi Kaalikawe na Jokate Mwegilo |
| Angel ni yule dada aliewakilisha Tanzania katika Tusker Project Fame kwa sasa yupo na TV One siku hiyo aliimba huyo |
| Toto za ukweli |
| Tv One team |
| Evance Bukuku akiwa na Oz Sinare |
| Martin |
| Mbando wa Airtel (kulia) alikuwapo |
| Hawa jamaa walichza muziki hao |
| Cheki ilivyokuwa |
| Watu walikuwa wengi kutoka mahala tofauti tofauti katika party hii iliyofanyikia katika ukumbi wa The Terrace uliopo Slip way |
| Dj alikuwa huyu jamaa hapo |
| Evance |
| Jokate na Andre Mahiga |
| Hawa twins mmoja huwa anaigiza Bongo Movie sasa ni viguu hata kuwatofautisha hawa wadada |
| Jokate's Mgongo |
| Hawa wadau wa Tv One |
| Ongeza kichwa |
| Anyway habari zaidi ya TV One inakuja muda mfupi ujao |