Wasanii wajitokeza kwa wingi kwenye Kili Award's semina
http://habari5.blogspot.com/2014/04/wasanii-wajitokeza-kwa-wingi-kwenye.html
| Nguri wa muziki nchini Hamza Kalala kushoto akizungumza na producer Man Water |
| AY na FA wakiwa katika semina hiyo |
| Mzee Yusuph na mkewe Leyla walikuwapo |
| Wadau wa Roots hao mezani huku nyuma yao ni Fina na Kavishe |
| Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) Godfrey Mngereza akifungua mkutano hup ambapo aliwataka wasanii kujiendeleza kwa elimu ya muziki hasa kwa kuwatumia wasanii wakongwe nchini |
| Mzee Yusuph siku hiyo alichangia sana |
| Mzee Komandoo Hamza Kalala alizungumza maneno ya busara sana hasa pale alipowataka wasanii kujiendeleza kielimu zaidi |
| Mwanamuziki nguri wa muziki wa Taarab Jike la Simba Isha Mashauzi akiwa pamoja na wadau wa muziki wa Taarabu |
| Huyu ni mdau kutoka kampuni inayojishughulish ana mauzo ya nyimbo za wasanii ni wakutoka kampuni ya Mikito |
| Kavisher na wadau muhimu wanaofanikisha tuzo za Kili |
| Lakini Isha Mashauzi alimpoza kiaina |
| Baadae ikafanyika party sehemu ya Garden ya hoteli hiyo ya Double Tree |
| Mahmud Zubery wa blog ya Bin Zubery akimfafanulia jambo Muumini Mwinjuma |
| Evance akizungumza na Snura |