Rotary of Bahari pamoja na Mradi wa Read International waahidi makubwa Sekondari ya Mtakuja
http://habari5.blogspot.com/2014/08/rotary-of-bahari-pamoja-na-mradi-wa.html
| Ilikuwa ni siku ya aina yake ambapo Rotary Bahari Club walipoungana na Read International katika kusaidia Sekondari ya Mtakuja |
| Wahusika wa Rotary of Bahari wakiangalia darasa linalotakiwa kuandaliwa chumba ya Maktaba |
| JP wa Bahari Rotary akizungumza na maofisa wa Read International |
| Mkurugenzi Mkazi wa Mradi wa Read International, Montse Pejuan | wakilishi wa |
| Hili ni darasa na ambalo litatumiwa kama Maktaba na kwa sasa |
| Cecilia akichukua picha ya darasa hilo |
| Mandhari ya nje ya shule hiyo ni nzuri |
| Mofisa wa Read International kushoto wakikagua eneo la nje ya shule wakiwa na Cecilia wa Rotary of Bahari |
| JP akiwa na Mkuu wa Shule hiyo nje ya darasa |
| Pia JP alisema kuwa Rotary of Bahari itakarabati ofisi ya Mkuu wa Shule |
| Wakapata wasaha wa kusaini kitabu cha wagenzi shuleni hapo |
| Cecilia aliandika ujumbe wa kukumbukwa kwa wageni hao |
| Picha ya pamoja huku nyuma kukiwa na ujumbe huo |
| Inashara ya kuwa watafanya kazi pamoja |