Onja ilivyokuwa Swahili Fashio mwaka huu pale Sea Cliff Hotel

Mwamitindo akipitia amevalia nguo za Kiki
Kiki alijitaidi
Mbunifu wa mavazi ambae pia ni mratibu wa onesho la Swahili Fashion 2014, Mustapha Hasanal akimkabidhi tuzo mwanamitindo wa kimataifa Millen Magese yenye kutambua mchango wake katika kusaidia masuala ya kijamii tukio hilo lilifanyika juzi katika onesho la mavazi la Swahili Fashion 
Millen akishukuru
Kiki akichukua tuzo yake baada ya kutajwa kuwa ni Mbunifu wa mwaka

Related

Sticky 6394485281520644167

Post a Comment

emo-but-icon

item