Tigo yadhamini maonesho ya Tehema kwa vijana, Viwanja vya Posta Moja



Ofisa kutoka mradi wa Data Huru ulio chini ya Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech) Daudi Fufuji akitoa maelekezo kuhusiana na namna ambavyo mradi huo unafanya kazi, maadhimisho hayo yalidhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo .

 Chombo maalum ambacho kinatumika kupigia picha kutokea angani hapo kilioneshwa namna kinavyofanya kazi.
 Baadhi ya mabanda ambayo wadau mbalimbali wa masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) walihudhuria.
Wadau kutoka Kituo cha Utamaduni cha Ujerumani, Goethe Institute wakiwa kwenye maonesho hayo.
 Wanafunzi wa Chuo cha A3 Institute wakionesha manjonjo yao ya upigaji wa picha katika maonesho hayo ya Tehama.
Ofisa kutoka mradi wa Data Huru ulio chini ya Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech) Daudi Fufuji akikipokea chombo maalum cha upigaji wa picha za ramani mbalimbali kutokea juu angani.

Related

Sticky 3672462422684577949

Post a Comment

emo-but-icon

item