Mwaka jana: Vida Mahimbo and At Soko waliendesha Colour of the year event
http://habari5.blogspot.com/2013/12/vida-mahimbo-and-at-soko-at-colour-of.html
AJ alikuwapo |
Aj and Vida (right) |
Vida akipambwa |
Just intro
Renewed fashion designer in Tanzania Vida Mahimbo shows her outfit design to her clients during her showed case known as Vida Mahimbo Clour of the Year with At Soko, the event took place last friday at A Soko house in Mikochen.
Vida Mahimbo Mbunifu wa Mavazi ambae kwa sasa anaendelea kufanya vema kwenye medani ya ubunifu wa mavazi nchini.
Mwaka jana alianzisha kitu cha kipeke yake ambapo alishirikiana na wataalamu wa urembo wa At Soko kuendesha siku nzima ya ushauri wa masuala ya urembo na mengineo muhimu.
Ni vema harakati kama hizi zikawa endelevu na kuwakutanisha watu mara kwa mara kujadiliana masuala ya urembo na mengineo.