Mama wa mapacha wanne anaomba msaada
http://habari5.blogspot.com/2014/01/mama-wa-mapacha-wanne-anaomba-msaada.html
Watoto wenyewe ndio hao hapo wamelala, pia anaomba msaada kutoka kwa wasamalia wema kumsaidia kuwatunza watoto hao, ili kutoa msaada huo unaweza kuwasiliana na hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya |