Mchezaji gofu, Stuart Read akijiandaa kupiga mpira wakati wa michuano ya Jumuiya ya watu wa Ireland waishio nchini ‘Ireland Society of Tanzania Golf Championship’ iliyodhaminiwa na kinywaji cha Johnnie Walker cha SBL na kufanyika viwanja vya Gofu vya Lugalo juzi. (Na Mpigapicha wetu)