Zantel na Miaka 50 ya Uhuru
http://habari5.blogspot.com/2014/01/zantel-na-miaka-50-ya-uhuru.html
Meneja wa Zantel Zanzibar, Mohamed Mussa Baucha akisalimiana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad kwenye Sherehe ya uzinduzi wa kitabu cha mpiga picha za Video na Mnato wa Zanzibar Javed Jafferji kinachohusu safari ya miaka 50 ya Mapinduzi ya kisiwa hicho. (Picha na Martin Kabemba).