Nyalandu atinga Uingereza kufafanua suala la mauaji ya Tembo
http://habari5.blogspot.com/2014/02/nyalandu-atinga-uingereza-kufafanua.html
|
Ikiwa ni siku chache baada ya Gazeti la Daily Mail Uingereza kuandika habari kuwa serikali ya Kikwete haifanyi lolote katika kupambana na mauaji ya Tembo, Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amekutana na wahariri wa gazeti hilo na kutolea ufafanuzi kuhusiana na namna ambavyo Kikwete na serikali yake wamekuwa wakipambana kumaliza tatizo hilo |