Some pixes katika concert ya Shtuka ya Zantel fukwe za Coco
http://habari5.blogspot.com/2014/02/some-pixes-katika-concert-ya-shtuka-ya.html
Wasanii chipukizi walishindanishwa |
Pia kuna usajili wa wateja wapya ulifanyika |
Huyo ndo mshindi wa Free Style |
Usajili wa wateja wapya ukiendelea |
Umati wa watu waliohudhuria |
CEO wa Zantel Protab akipatiwa maelezo kutoka kwa Awaichi Mawalla wa Zantel pia na mwenyenyekundu ni Mwita ambae ni Media Specialist wa Lotus, PR Agency ya Zantel |
Wasanii wakikamua |
Zantel's CEO na wadau mwenye penzi ya kaki ni MD wa Times Fm |
Dogo Janja (kulia )na wadau wa Zantel |
Dogo Janja akikamua |
Muuza Mayai akipewa zawadi ya kofia na Awaichi |
MC akiwajibika |
Madeee alikamua vilivyo |