Meya wa Ilala aliandaa futari kwa wadau mbalimbali
http://habari5.blogspot.com/2014/07/meya-wa-ilala-aliandaa-futari-kwa-wadau.html
| Evance wa blog ya habari 5 kulia na Issa Michuzi wa Michuzi Blog |
| Malinzi akichukua futari |
| Meya Silaa akitoa neno la shukrani |
| Alikabidhi zawadi kwa watu |
| Michuzi na wadau |
| Mercy wa Nelwa Gerlato Ice Cream akiwa na mheshimiwa huyu dada ndo alitoa huduma ya Ice Cream siku hiyo akiwa na Meya |
| Mustahiki Meya wa Ilala |
| Akina mama wakifuturu |
| Mercy mtaalamu wa Ice Cream aliwakilisha vema siku hiyo ukiwa na hafla yako usisite kumwita |