Okwi bado gumzo usajili wa Tz Bara
http://habari5.blogspot.com/2014/09/okwi-bado-gumzo-usajili-wa-tz-bara.html
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) jana lilitoa majina ya wachezaji waliopendekezwa kusajiliwa na klabu mbalimbali huku jina la mchezaji wa Uganda, Emanuel Okwi likitokea mara mbili kwenye timu za Simba na Yanga.
Utata wa jina hilo kutokea katika timu unatokana na hatua ya klabu ya Simba kumtangaza kama mchezaji wao huku Yanga nayo ikidai kuwa na mkataba nae.
Pia katika usajili huo mchezaji Abdi Banda aliekuwa akigombaniwa na klabu za Coastal Union na Simba jina lake limeonekana katika usajili wa Simba
Banda ambae alikuwa akiitumikia timu ya Coastal Union kama beki wa kushoto alitangazwa kujiunga na Simba kwa madai ya kuwa alikuwa amekataa kuendelea na Coastal Union.
Yanga mbali na Okwi pia imewasilisha majina ya wachezaji wake wengine wakigeni watano na hivyo kupelekea idadi kuwa majina sita.
Jina la Okwi ndio lilikuwa na kwanza kabisa likifuatiwa na jina la Andrey Coutinho na Geilson Santos wote kutokea Brazil, kisha Mbuyu Twite wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Haruna Niyozima na la mwisho likiwa ni Hamis Kiiza.
Simba ilikabidhi majina matano likianza na Okwi kisha, Amis Tambwe wa Burundi, Joseph Owino wa Uganda,Piere Kwizera wa Burundi pamoja na Raphael Kiongere wa Kenya.
Kwa upande wake timu ya Coastal Union ilikabidhi majina manne ambayo ni Tubu Mbem wa Congo, Bright Ike wa Nigeria,Rama Salum wa Kenya pamoja na Yayo Lutimba wa Uganda.
Kwa upande wa wachezaji wa hapa nchini Yanga imetaja majina ya akina Ally Mustapha, Salum Telela, Oscar Fanuel, Rajabu Mohamed, Kelvina Yondani, Jeryson Tegete na Said Bahamuzi.
Wengine ni Juma Kaseja, Omega Seme, Pato Ngonyani, Nzar Khalfan, Mrisho Ngasa, Hamis Mohamed, Hussein Javu,
Nadir Ali, Hassan Dilunga, Saimon Msuva, Deogratias Munish, Juma Jaffar, Said Ali, Edward Manyama, Almasi Majaliwa, Amos Charles, Ayoub Ayoub, Bennito Michael, Frank Maulanga, Frank Kijoti, Gadaffi Kapondo, Hamis Kipande na Hassan Nyonho.
Majina mengine ya wachezaji waliopendekezwa na Yanga ni pamoja na Hussein Hussein, Issa Ngao, Juma John, Junior Paulo, Mandela Mussa, Ramadhan Kabwili, Said Ndutu, Salum Abdalah.
Wengine ni akina Sospter Kasoli, Mwinyi Juma, Shaban Shabana, Joseph Simbaulanga, Almasi Majaliwa, Amos Charles, Ayoub Ayoub, Bennito Michael, Frank Maulanga, Frank Kijoti, Gaddafi Kapondo, Hamis Kipande, Hassan Nyonho, Hussein Hussein, Issa Ngao na Juma John.
Kwa upande wa timu ya Simba waliotajwa ni pamoja na Shafi Rajabu, Sai Juma, Shabani Kisiga, Uhusu Selemani, William Elias, Awadh Issa, Abdallah Seseme, Amri Kiemba, Elias Maguri.
Wengine ni Haruna Chanongo, Hussein Shariff, Hassan Isihaka, Hussein Migomba, Issa Issa, Ivo Mapunda, Jonas Mkude, Joram Mgeweke, Peter Peter, Miraj Selemani, Mohamed Mohamed, Said Masoud na Ramadhan Singano.
Wengine ni Abdi Misiru, Dennis Deonis, Alia Nyombo, Iddy Khamis, Issa Abdallah, Juventus Joseph na Malik Kapolo
Wengine ni akina Mbaraka Abedi, Miza Abdallah, Omary Hassan, Omary Matola, Patrick Mhagama, Said Mohamed, Salum Salum, Seleman Omar, Yunus Kambi, Abdulaziz Makame na Yunus Moshi
==============