Windhoek bia ya vijana wa kileo

Wadau wakipata bia ya Windhoek na wanaonekana kuifurahia 

                              Mc Mganga wa ndele akifanya vitu vyake wakati wa promosheni ya baa ya           Windhoek iliyofanyika katika Baa ya Hongera Sinza, ambapo aliwaelezea wananchi faida ya bia hiyo
               Mbali na kutoa zawadi mbalimbali kama vile fulana, kofia na bia lakini pia wananchi wamefahamu kuhusiana na upikwaji wa bia hiyo ikiwa ni pamoja na kujua kuwa haina ulevi wa kupindukia pamoja na harufu inayokera.

                                                Wadau wakigonga bia

                                                             Dj John akiwa kazini
                              Kila ukiingia baa hakikisha kuwa unaagizia bia yako ya Windhoek

Related

Sticky 2176411284097097616

Post a Comment

emo-but-icon

item